Chama cha Demokratik cha Marekani kimefungua rasmi mkutano wake mkuu mjini Philadelphia siku ya Jumatatu kwa hotuba za kusisimua.
Mkutano wa chama cha Demokratik wafunguliwa Philadelphia

1
Mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama, akishangiliwa alipowasili kuhutubia mkutano mkuu wa chama mjini Philadelphia.

2
Wafuasi wa Bernie Sanders wakiwa ndani ya ukumbi wa mkutano mkuu wa Demokratik

3
Mmoja kati ya wasemaji katika mkutano mkuu wa Demokratik

4
Ukumbi wa mkutano mkuu wa chama cha Demokratik
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017