Chama cha Demokratik cha Marekani kimefungua rasmi mkutano wake mkuu mjini Philadelphia siku ya Jumatatu kwa hotuba za kusisimua.
Mkutano wa chama cha Demokratik wafunguliwa Philadelphia

5
Bernie Sanders akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa chama cha Demokratic

6
Gavana wa Connecticut Dannel Malloy akizungumza katika siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa chama cha Demokratik mjini Philadelphia, Julai 25, 2016.

7
Mjumbe wa California Gurjatinder Randhawa akiweka mkono kifuani wakati wa wimbo wa taifa kufungua mkutano mkuu mjini Philadelphia, Julai 25, 2016.

8
Sen. Cory Booker wa jimbo la New Jersey
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017
Facebook Forum