No media source currently available
Mwanamke wa asili ya Kichina ambaye anafahamika na baadhi ya watu kama malkia wa biashara ya pembe za ndovu katika eneo la Afrika Mashariki leo amepanda kizimbani akikabiliwa na shtaka la kuendesha genge linaloratibu biashara hiyo. M