Kiongozi wa kanisa la Katholiki, Papa Francis afanya ziara ya kihstoria nchini Cuba na kuongoza Misa kwenye Uwanja wa Mapinduzi mjini Havana, siku ya Jumapili
Papa Francis atembelea Cuba

5
Papa Francis awasili kwenye Uwanja wa Mapinduzi kuongoza Misa ya hadhara mjini Havana, Cuba, Jumapili, Sept. 20, 2015.

6
Kuanzia kushoto, Mke wa rais wa Panama Lorena Castillo Garcia de Varela, Rais wa Cuba Raul Castro na Rais Cristina Fernandez de Kirchner wa Argentina wanamsubiri Paopa Francis kuwasili kwenye uwanja wa Mapinduzi ili kuongoza Misa mjin Havana, Sept. 20, 2015.

7
Papa Francis awasili kuongoza Misa kwenye uwanja maarufu wa Mapinduzi Havana, akipeana uso na sanamu ya shuja wa mapinduzi Ernesto "Che" Guevara na bendera ya Cuba iliyopambwa kwenye jengo la serikali, Sept. 20, 2015.

8
Papa Francis akisaidiwa kupanda kwenye jukwa la kuhubiri alipowasili kwenye Uwanja wa Mapinduizi