Kiongozi wa kanisa la Katholiki, Papa Francis afanya ziara ya kihstoria nchini Cuba na kuongoza Misa kwenye Uwanja wa Mapinduzi mjini Havana, siku ya Jumapili
Papa Francis atembelea Cuba

1
Papa Francis, kushoto, asimama karibu na Rais Raul Castro, alipomkaribisha baada ya kutuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jose Marti, Havana, Sept. 19, 2015.

2
Rais Raoul Castro kulia, awapungia mkono wananchi walojitokeza kumpokea Papa Francis kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Havana.

3
Papa Francis akaribishwa na Wacuba wakati akiwa njiani kutoka uwanja wa ndege wa Jose Marti kuelekea Nunciature mjini Havana, Jumamosi, Sept. 19, 2015.

4
Papa Francis awasili kwenye Uwanja wa Mapinduzi kuongoza Misa ya hadhara mjini Havana, Cuba, Jumapili, Sept. 20, 2015.