Mwanadada wa Kenya Caroline Rotich aliibuka mshindi wa mbio ndefu za Boston Marathon upande wa wanawake, nae Lelisa Desisa wa Ethiopia alirudia ushindi wake wa mwaka jana kwa kushinda mbio za wanaume akitumia muda wa saa mbili, dakika 9 na sekunde 17
Rotich na Desisa washinda mbio za Boston Marathon 2015

1
Caroline Rotich wa Kenya akikata utepu kushinda mbio za Boston Marathon April 20 2015

2
Polisi wakagua mko0ba uloachwa wakati wa mbio za Boston Marathon

3
Desiree Davila Linden (USA) na Caroline Rotich (KEN) waongoa kundi la wanawake mbio za Boston Marathon

4
Kuanzia kushoto, Yemane Adhane Tsegay wa Ethiopia, Tadese Tola wa Ethiopia, Meb Keflezighi wa San Diego, Lelisa Desisa wa Ethiopia, Danthan Ritzenhein, wa Rockford, Mich., and Matt Tegenkamp wa Portland, Ore, wakianza mbio ndefu za Boston Marathon April 20, 2015