Mwanadada wa Kenya Caroline Rotich aliibuka mshindi wa mbio ndefu za Boston Marathon upande wa wanawake, nae Lelisa Desisa wa Ethiopia alirudia ushindi wake wa mwaka jana kwa kushinda mbio za wanaume akitumia muda wa saa mbili, dakika 9 na sekunde 17
Rotich na Desisa washinda mbio za Boston Marathon 2015

5
Caroline Rotich, wa Kenya akimaliza wa kwanza mbio za Boston Marathon 2015

6
Bill Richard, right, father of 2013 Boston Marathon bombing victim Martin Richard, prepares to put the victor's wreath on women's wheelchair division winner Tatyana McFadden, of Russia, at the Boston Marathon, Monday, April 20, 2015 in Boston. (AP Photo/C

7
Lelisa Desisa, wa Ethiopia, anaongoza kundi la wenzake wakipita mbele ya kituo cha maji hapo Natick, Mass., akielekea kushinda mbio za Boston Marathon, April 20, 2015.

8
Meya wa Boston Marty Walsh amvaza taji Caroline Rotich, wa Kenya, baada ya kushinda upande wa wanawake mbio za Boston Marathon.