Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 25, 2024 Local time: 12:21

Mahojiano ya Profesa Mwesiga Baregu na Sauti ya Amerika


please wait

No media source currently available

0:00 0:13:06 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Rais Jakaya Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania, amesema mgombea Urais wa chama chake bado hajajitokeza, licha ya kuwepo wanachama wanaoonyesha nia ya kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa mwezi Desemba. Kufuatia kauli ya Bwana Kikwete, Idd Ligongo wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika alifanya mahojiano na Profesa Mwesiga Baregu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino juu ya kauli ya Rais Kikwete aliyoitoa katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM.

Makundi

XS
SM
MD
LG