Maelfu ya wakazi wa Mombasa na wageni walihudhuria maziko ya msomi mashuhuri wa kimataifa Ali Mazrui siku ya jumapili Oktoba 19, 2014. Mazrui alifariki nyumbani kwake New York akiwa na umri wa miaka 81.
Maelfu ya watu wajitokeza kumwaga Profesa Ali Mazrui

1
Mwili wa Profesa Ali Mazrui ukipokelewa Nairobi na wakuu wa Mombasa

2
Viongozi wa Mombasa watoa dua mbele ya jeneza la Profesa Mazrui lilipowasili Mombasa

3
Mjane wa Profesa Mazrui Pauline Uti awasili kwenye uwanja wa ndege wa Moi Nairobi

4
Gavana Hassan Joho (kulia) pamoja na Kadhi mkuu na Mwanasheria Mkuu wasubiri kuwasili kwa mwili Profesa Ali Mazrui kwenye uwanja wa ndege wa Moi Mombasa.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017