Majadiliano ya miaka miwili ya kutaka uhuru au la yamemalizika kwa wananchi wa Scotland kupiga kura Alhamisi kujibu ikiwa wavunje muungano na Uingereza wa tangu mwaka 1707 au la.
Wananchi wa Scotland wapiga kura kutaka uhuru au la

1
Wapiga kura wanawasili katika kituo cha kupiga kura cha Pitlochry, Scotland, Sept. 18, ili kushiriki katika kura ya maoni ya kihistoria kuamua ikiwa wajitenge na Uingereza au la. 2014.

2
Wapiga kura wanawasili kupiga kura yao katika ofidsi ya meya wa mji wa mji wa Portobello, karibu na mji mkuu wa Scotland wa Edinburg.

3
Mpiga jura anawasili kea biskeli katika kituo cha kupiga jura cha Portree huko Isle of Skye, Sept. 18, 2014.

4
Mfanyakazi wa Idara ya Afya ya Taifa awasili kupiga kura yake katika kituo cha Pitlochry, Scotland, Sept. 18, 2014.