Majadiliano ya miaka miwili ya kutaka uhuru au la yamemalizika kwa wananchi wa Scotland kupiga kura Alhamisi kujibu ikiwa wavunje muungano na Uingereza wa tangu mwaka 1707 au la.
Wananchi wa Scotland wapiga kura kutaka uhuru au la
5
Maafisa wa polisi wasimama nje ya kituo cha kupiga kura cha Pitlochry, Sept. 18, 2014.
6
A man plays the bagpipes on a "short walk to freedom" march in Edinburgh, Scotland, Sept. 18, 2014.
7
Isabelle Smith mkazi wa Edinburg mwenye umri wa miaka 83 muungaji mkono wa kutaka kujitenga azungumza na mwandishi wa shirika la habari la Associated Press nje ya kituo cha kupiga kura cha Edinburgh, Scotland, Sept. 18, 2014.
8
Scotland's First Minister Alex Salmond speaks to members of the media outside a polling station in Strichen, Scotland, Sept. 18, 2014.