No media source currently available
Rais mteule wa Kenya Kenyatta atembelea Mombasa na kutoa wito kwa wakenya kuungana pamoja na kutokubali mgawanyiko kwa misingi ya kikabila.