Wakazi wa miji ya Mashariki ya Congo wameandamana kulaani mauwaji ya kamanda aliyewamaliza wapiganaji wa M23, na kuanza kuwasaka wapiganaji wa makundi mengine ya waasi.
Maandamano dhidi ya mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala mashariki ya Congo

1
Wakazi wa mji wa Benni wakiandamana kulaani mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala, wanataka uchunguzi ufanyike kwani hawaamini ni waasi ndio walomua. Jan, 03 2013

2
Vikosi vya usalama wakiwazuia waandamanaji mjini Benni walokuwa wanadai uchunguzi wa kina katika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala

3
Wanawake wakiandamana Benni kulalamiika mauwaji ya Kanali Mamadou Ndala Jan, 03 2014

4
Waandamanaji katika njia kuu ya Beni kulaani mauwaji ya Kanali M. Ndala