Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
Dunia nzima inaadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa kutafakari na kuzungumzia manedeleo katika kuwapatia waandishi habari na vyombo vya habari uhuru ambao ni haki yao inayotambulika kimataifa

1
Watoto wa shule ya msingi wakisoma magazeti kwenye kibanda cha kuuza Magazeti Kivukoni Front , Dar es Sa;aam

2
Waandishi habari wakifanya kazi

3
Naibu waziri wa habari wa Burma Soe Win akitoa hutuba kuadhimisha siku ya waandishi habari. Rangoon, Burma, May 3, 2012.

4
Maandamano ya waandishi habari mjini Kuala Lumpur, kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. May 3, 2012.