Maandamano na vurugu Zanzibar
Maandamano yaliyofanywa na Jumuiya ya Uamsho yamezusha vurugu na uharibifu wa mali huko Zanzibar.
1
Polisi wa kupambana na ghasia wakipiga doria katikia mitaa ya Zanzibar kufuatia ghasia za Jumapili Mai 28 2011
2
Wanaume wakiandamana kutaka kura ya maoni iitishwe kuamua ikiwa Zanzibar ijiondowe kutoka Muungano. Maandamano yaliitishwa na jumuiya ya Uamsho
3
Wanawake wakiandamana nyuma ya wanaume kudai kura ya maoni iitishwe kuamua ikiwa Zanzibar ijiondowe kutoka Muungano. Maandamano yaliitishwa na jumuiya ya Uamsho
4
Kanisa lililotiwa moto wakati wa ghasia za Jumapili Mai 27 2012 huko Zanzibar