Uharamia katika Bahari ya Hindi
Matukio tofauti ya uharamia katika kanada ya bahari ya Hindi.
5
Uharamia katika Bahari ya Hindi
6
Wanajeshi wa jeshi la kulinda amani Somalia AMOSOM wakilinda eneo la pwani ya Mogadishu.
7
Tenka ya kusafirisha Kemikali ya MV Theresa VIII ikiwa imetia nanga bandarini Kakinada, India. Ilitekwa nyara na waharamia wa kisomali ikisafirisha mafuta hadi Kenya.
8
Meli ya Marekani ya Maersk Alabama, ikiondoka bandari ya Mombasa, Kenya Aprili 22, 2009, baada ya kuokolewa na jeshi la majini la Marekani.