Matukio baada ya milipuko Tanzania
Picha kuonesha matukio yaliyotokea baada ya kutokea milipuko ya mabomu katika ghalia ya kuhifadhi silaha kwenye kambi ya jeshi huko Gongo la Mboto Dar es Salaam

1
Moshi umetanda kwenye kambi ya jeshi ya Ngongo la Mboto, nje kidogo ya Dar es Salaam kufuatia milipuko ya bomu. Februari 16 2011

2
Muathiriwa akifikishwa kwenye hospitali ya Amana

3
Mtu aliyejeruhiwa kufuatia milipuko afikishwa hospitali ya Muhimbili

4
Watu wakitizama mabaki ya mziga uloripuka kewnye barabara ya Pugu-Malohe nje ya Dar es Salaam Alhamisi Feb 17, 2011