Matukio baada ya milipuko Tanzania
Picha kuonesha matukio yaliyotokea baada ya kutokea milipuko ya mabomu katika ghalia ya kuhifadhi silaha kwenye kambi ya jeshi huko Gongo la Mboto Dar es Salaam

5
Nyumba iliyobomoka kutokana na milipuko ya mabomu katika kambi ya Gongo la Mboto karibu na Dar es Salaam

6
Familia moja ikihamisha mali zao kwa pikipiki kutoka nyumbani kwao huko Pugu Majohe.

7
Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundi wakipokea maji ya kunywa ili kuwapatia wathiriwa na milipuko ya mabomu Tanzania

8
gari linawasafirisha wakazi wanaokimbia makazi yao baada ya milipuko ya Gongo la Mboto