Wafuasi wa Rais Museveni washerehekea ushindi wake kenye uchaguzi wa rais huku wapinzani wakiongozwa na Bobi Wine wako kaika huzuni.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi amesema kwamba jumla ya kura 10,359,479 zilipigwa, huku 381,386 zikiharibika.
Kwa karibu asilimia 30 ya kura zilizo hesabiwa Alhamisi, Museveni alipata kura millioni 1,852,000 sawa na asilimia 63.9, naye Bob Wine alipata kura laki 821,000 sawa na asilimia 28.4, tume ya uchaguzi nchini Uganda imesema.
Mgombea urais Bobi Wine asema Jenerali Museveni anataka kuiweka dunia katika giza baada ya serikali yaka kufunga mitandao ya kijamii na intaneti.
Hali imeanza kubadilika nchini Uganda siku moja kabla ya Uchaguzi Mkuu wakati wananchi wakijitayarisha kupiga kura huku mabango ya chama tawala peke yake yakimtangaza Rais Yoweri Museveni mjini Kampala.
Kampuni ya facebook imefunga akaunti kadhaa zenye uhusiano na chama kinachotawala nchini Uganda cha National resistance Movement NRM.
Ochola ameambia waandishi wa habari kwamba “polisi wataendelea kuwapiga kwa sababu wanataka kuhakikisha kwamba hawaendi mahali kuna hatari.”
Wamekubaliana pia kushinikiza jumuiya ya kimataifa kuingilia kati na kuchunguza kile wanataja kama ukiukwaji mkubwa wa haki za kibinadamu nchini Uganda unaofanywa na serikali Pamoja na wanajeshi.
Pandisha zaidi