Kushinda katika jimbo hili muhimu kutamuwezesha Biden kufikia kiwango cha kura 270 za wajumbe zinazohitajika ili kushinda uchaguzi wa rais.
Wakosoaji wanasema juhudi za Facebook kurekebisha kanuni na kuweka vizuizi zaidi vimekuwa na mianya isiyowezesha kutekelezwa, hata baada ya kutumia mabilioni kwa ajili ya mradi huo.
Trump ambaye yuko nyuma katika ukusanyaji wa maoni kitaifa, amerejea mara kadhaa – na bila ya ushahidi – kusema upigaji kura kwa njia ya posta unawizi na kughushi.
Hii ni moja ya hatua za kujenga uaminifu unaolenga azma ya kufufua mchakato wa mazungumzo ya amani yaliyokwama, Umoja wa Mataifa na vyanzo vingine vimesema Jumapili.
Hivi sasa kufuatia kifo cha Ginsburg, Trump anaweza kufanya kitu ambacho hakuna rais mwengine alitekeleza katika kizazi kilichopita: kumweka jaji mconservative nafasi iliyoachwa wazi na jaji mliberali.
“Leo hii hili ni tukio lenye msukumo wa kweli. Wananchi wa Afghanistan hatimaye wamechagua kukaa pamoja na kuunda muelekeo mpya kwa nchi yenu. Hii ni fursa ya kuwa na matumaini,” Pompeo amesema.
Malipo haya ni kwa yeyote anayetaka kupimwa COVID-19, lakini serikali imeorodhesha wale ambao lazima wafanyiwe vipimo.
“Iwapo serikali haihusiki kwa namna yoyote na shambulio hili, hivyo ni kwa maslahi yake kuja na ukweli juu ya hili.”
Mpaka sasa ziko chanjo tisa ambazo zinafanyiwa majaribio duniani mbili kati ya hizo zinafanyiwa majaribio Afrika.
Majimbo yasiopungua 33 hayafuati miongozo mipya ya CDC na wanaendelea kupendekeza watu wote waliokaribiana na virusi vya corona wapimwe hata kama hawana dalili za maambukizi
Mjini Zurich, waandamanaji wapatao 1,000 wakitilia mashaka kanuni zilizowekwa kudhibiti COVID-19 walidai “kurejeshwa kwa uhuru.”
Mshauri wa ngazi ya juu wa Trump Jared Kushner atakuwa kati ya maafisa wa Marekani katika ndege hiyo ya El Al itakayoanza safari yake Agosti 31...
Rais amesema amri hiyo ni ya nchi nzima kuanzia saa tatu usiku hadi za kumi alfajiri itaendelea kwa siku 30 zaidi.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda imewaamrisha kurudi nyumbani wanadiplomasia hao waliokuwa katika ubalozi wa nchi hiyo nchini Denmark
Ujumbe wa ECOWAS pia utakutana na rais aliyeondolewa madarakani, Keita, pamoja na maafisa wa serikali na jeshi wanaozuiliwa na wanajeshi waasi
Kalinichenko pia amesema kuwa “baada ya kupokea ombi la wanafamilia juu ya kusafirishwa kwa mgonjwa,” familia ya Navalny itasimamia kikamilifu jukumu la safari hiyo.”
(Musene), Mawakili Dorah Mirembe (Mirembe), na mumewe Mirembe, Patrick Ecobu (Ecobu), walishiriki katika utapeli huo ambao katika mazingira fulani, watoto waliondolewa kutoka kwenye familia zao Uganda
Azimio la Marekani liliungwa mkono kwa kura mbili – za Marekani na Jamhuri ya Dominica. Russia na China zilipiga kura kupinga hatua ya vikwazo hivyo, na nchi nyingine 11 wanachama wa baraza hawakupiga kura.
Pandisha zaidi