Mkutano Mkuu Wa Chama Cha Republican Wafunguliwa

Nje ya ukumbi wa mkutano mkuu wa Republican

Wauza T-shirt kwenye mkutano wa republican

Kiatu cha kampeni

Bendera za majimbo

Nick Cannon msani mashuhuri akiungana na Black Life Matters

Bango la kumpinga Hillary

Mkutano mkuu wa chama cha Republican wafungulia mjini Cleveland ambako harakati nyingi zinafanyika kando ya mkutano.