Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 03, 2023 Local time: 04:28
VOA Direct Packages

Zimbabwe yasema uchumi wake unaboreka, licha ya viwango vya umaskini kuwa juu


please wait

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00

Leo katika Matukio ya Afrika tunaelekea nchini Zimbabwe ambako walisherehekea sikukuu ya uhuru hapo Aprili 18. Rais Emmerson Mnangagwa anasema uchumi wa nchi unaboreka.

Lakini ripoti ya Benki ya Dunia iliyotolewa mwezi huu inasema kwamba wakati viwango vya umaskini nchini Zimbabwe vinashuka, bado viko juu. Khadija Riyami anaisoma ripoti ya mwandishi Columbus Mavhunga kutoka Mount Darwin nchini Zimbabwe.

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa aliongoza sherehe za kuadhimisha miaka 43 ya uhuru wan chi kutoka wa Uingereza, akiwasihi raia kuendelea kuungana wakati uchumi unafufuka. Aliongezea kwamba serikali imetekeleza “miradi mikuwa ya kubadili maisha” ili kuwainua wazimbabwe kutoka kwenye umaskini na kuingia katika ustawi.

Makundi

XS
SM
MD
LG