Wazimbabwe wamepiga kura katika hali ya utulivu .
Uchaguzi mkuu wafanyika Zimbabwe.

1
Wazimbabwe wakisubiri kupiga kura ya urais na bunge mjini Harare Julai 31, 2013.

2
Wazimbabwe wakisubiri katika mstari kupiga kura zao kwenye mji wa Mbare nje kidogo ya Harare.

3
Mtu mmoja akifuatilia zoezi la upigaji kura katika basi la kampeni la rais Robert Mugabe karibu na kituo cha kupigia kura kwenye mji wa Harare.

4
Wazimbabwe wakiwa kwenye mstari kusubiri kupiga kura kwenye mji wa Morondera.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017