Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 01, 2024 Local time: 23:10

Utapiamlo huko Diffa

Kinyume na jirani wa Nigeria, ambaye anashuhudia mikasa mingi ya njaa katika eneo la ndani la kaskazini mwa nchi, Niger haiko katika hali mbaya sana.

Kinyume na jirani wa Nigeria, ambaye anashuhudia mikasa mingi ya njaa katika eneo la ndani la kaskazini mwa nchi, Niger haiko katika hali mbaya sana. Hata hivyo, kesi za utapiamlo zipo na zinatarajiwa kuongezeka katika kipindi cha mavuno machache, hasa katika mkoa wa Diffa. Huko ndiko Nicolas Pinault, mwandishi maalum wa VOA Africa nchini Niger alilitembelea eneo hilo.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG