Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:41

White House inatafakari kupeleka mifumo ya makombora ya Patriot Ukraine


White House inatafakari kupeleka mifumo ya makombora ya Patriot Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:15 0:00

White House inatafakari kupeleka mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ya Patriot nchini Ukraine kupambana na uvamizi wa Russia.

- Balozi wa Ukraine nchini Marekani amekiambia kituo cha televisheni cha ABC kwamba msaada huo ni muhimu. Anaeleza kuwa mashambulizi ya Russia yameharibu asilimia 50 ya miundombinu ya nishati nchini humo.

- Sikiliza repoti kamili inayoletwa na mwandishi wa VOA likiwemo suala la uhamiaji na namna idadi hiyo ilivyoendelea kuongezeka na vipi wabunge wa Marekani wanavyoendelea kukabiliana na suala hilo kabla ya mwaka kumalizika...

XS
SM
MD
LG