Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 02, 2022 Local time: 13:46

Watu wakimbia mapigano kati ya M23 na wanajeshi wa FARDC karibu na Rutshru, DRC

Wakazi wa vijiji karibu na mji wa Rutshuru mashariki ya Congo wanakimbia mapigano makali kati ya wanajeshi wa FARDC na wapiganaji wa M23 wanaosonga mbele na kunyakua miji zaidi.

Maandamano vile vile yamefanyika mwishoni mwa wiki ya mwezi wa Oktoba 2022, kuwataka wakuu wa serikali kusitisha mapigano na kuanza mazungumzo ya amani.


Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG