Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kukutana kwa mara ya kwanza kuhusu hatua ya Russia kupeleka majeshi karibu na Ukraine.
Maelfu ya raia wa Sudan wanaendelea na maandamano katika mji mkuu wa Sudan na miji mingine kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari