Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 06, 2023 Local time: 06:59

Wananchi wa Ufaransa waandamana kupinga mageuzi ya mfumo wa malipo ya uzeeni


Wananchi wa Ufaransa waandamana kupinga mageuzi ya mfumo wa malipo ya uzeeni
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Waandamanaji Ufaransa wamekusanyika Alhamisi kupinga mpango wa serikali wa kufanya mageuzi katika mfumo wa malipo ya uzeeni ikimaanisha mtu anatakiwa kufanya kazi muda mrefu katika maisha yake.

Wakazi wa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa wanalalamika kufuatia

zoezi la mamlaka ya mji huo kusafisha mji bila ya kuwapa wananchi maelezo.

- Msako waendelea kuwatafuta wanawake zaidi ya 50 waliotekwa nchini Burkina Faso...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG