Wakazi wa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa wanalalamika kufuatia
zoezi la mamlaka ya mji huo kusafisha mji bila ya kuwapa wananchi maelezo.
- Msako waendelea kuwatafuta wanawake zaidi ya 50 waliotekwa nchini Burkina Faso...
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari