Upatikanaji viungo

Tanzania yawaaga rasmi wanajeshi waliouwawa DRC

Miili ya wanajeshi wa Tanzania yaagwa rasmi

Miili ya wanajeshi 14 waliouwawa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeagwa Alhamisi nchini Tanzania.
Onyesha zaidi

Miili ya wanajeshi 14 ikiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya JWTZ kwa ajili ya sherehe ya kuagwa
1

Waziri mkuu akitoa heshima ya mwisho kwa miili ya marehemu
2

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwapa mkono wa pole wafiwa
3

Wanajeshi wakitoa heshima zao za mwisho kuiaga miili ya wanajeshi wenzao
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG