Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 02:30

Wanajeshi wa Ukraine wafanikiwa kuidhibiti Russia kushambulia


Wanajeshi wa Ukraine wafanikiwa kuidhibiti Russia kushambulia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:36 0:00

Shirika la kijasusi la Uingereza limerepoti kuwa wanajeshi wa Ukraine wamefanikiwa kuzima mashambulizi yaliyokusudiwa dhidi yao na majeshi ya Russia.

- Russia inaendelea kushambulia eneo la mashariki ya Ukraine ambapo picha kadhaa zimeonyesha mashambulizi hayo yanafanywa katika maeneo ya raia kukiwa na vifo na maafa kwa raia.

- Hata hivyo bado nchi za Magharibi zinaendelea kununua gesi na petroli kutoka Russia, ambapo wamekosolewa kwamba wanaendelea kuiwezesha Russia kuishambulia Ukraine.

XS
SM
MD
LG