Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 05, 2024 Local time: 21:28

Wamarekani waelekea vituo vya kupiga kura kuamua nani adhibiti bunge kati ya Wademokrat na Warepublikan


Wamarekani waelekea vituo vya kupiga kura kuamua nani adhibiti bunge kati ya Wademokrat na Warepublikan
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wapiga kura Marekani wanaelekea kwenye debe kuamua nani atakayechukua udhibiti wa bunge kati ya Wademokrat na Warepublikan katika uchaguzi wa katikati ya muhula.

- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba dunia itaangamia kutokana na mabadiliko ya hewa iwapo hatua hazitachukuliwa.

- Maombi maalum yamefanyika kwa ajili ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege Bukoba, Tanzania.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG