Hatua hii ni kutokana na hofu ya kuzuka tena mlipuko wa volcano kutokana na mitetemeko mikubwa inayotokea.
Wakazi wa Goma walazimika kukimbia milipuko ya mlima Nyiragongo
- Abdushakur Aboud
Mkuu wa kijeshi wa Kivu kaskazini amewaamrisha wakazi wa Goma mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuondoka mara moja.

1
Wakazi wa Goma wakiondoka kwa hofu ya kuzuka tena mlipuko wa mlima Nyarigongo

2
Wakazi wa Goma wakiondoka ni vitu kidogo waloweza kubeba baada ya kuamrishwa kuondoka

3
Wakazi wa Goma wakiondoka kwa boti baada ya kulazimishwa kuondoka Mei 27, 2021

4
Wakazi wa Goma wakipanda meli baada ya kuamrishwa kuondoka kwa hofu ya kuzuka mlipuko mwengine