Baada ya miaka miwili ambapo Warepublikan wamekuwa wakiidhibiti White House, Baraza la Seneti na Baraza la Wawakilishi, Wademokrat ndio walio wengi hivi sasa katika Baraza la Wawakilishi.
Wademokrat wachukuwa uongozi wa Bunge la Marekani - Congress
Utawala wa serikali ya Marekani uliyo gawanyika unarejea kazini Marekani Alhamisi wakati Bunge jipya la Marekani likiapishwa.
1
Kiongozi wa Bunge la Marekani - Congress Nancy Pelosi (D-CA) akishangiliwa na Mwakilishi Steny Hoyer (D-MD) na wawakilishi wengine baada ya kupendekezwa kuwa Spika wa Bunge wakati Baraza la Wawakilishi likikutana kuanza kikao chake cha 116 mjini Washington.
2
Kiongozi wa Wademokrat ndani ya Bunge la Marekani - Congress Nancy Pelosi (D-CA) akisalimiana na Mwakilishi John Lewis (D-GA) kabla ya kikao cha 116 kuanza Bungeni, Washington, Jan. 3, 2019.
3
House Democratic Leader Nancy Pelosi of California, who is expected to lead the 116th Congress as speaker of the House, and House Minority Whip Steny Hoyer, D-Md., are applauded at the Capitol in Washington, Jan. 3, 2019.
4
Ilhan Omar, D-Minn., akizungumza ndani ya ukumbi wa Bunge kabla ya kuapishwa huko Washington, Jan. 3, 2019.