Waziri mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry akamlisha ziara ya Afrika akisisitiza juu ya masuala ya amani na kurudisha utulivu.
Kerry akamilisha ziara Afrika

1
Waziri ya mambo ya nchi za nje John Kerry akizungumza na waandishi habari mjini Luanda ambako alisifu uwongozi wa taifa hilo lenye utajiri wa mafuta katika kutanzua mizozo ya Afrika Luanda, Angola, May 5, 2014.

2
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani John Kerry akikutana na viongozi wa asasi za kiraia nyumbani kwa balozi wa Marekani mjini Luanda, Angola, May 4, 2014.

3
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Angola Georges Rebelo Chicoti, kulia, akitembea pamoja na waziri mwenzake wa Marekani John Kerry kabla ya kukutana katika Wizara ya fedha Luanda, Angola, May 5, 2014.

4
waziri John Kerry akihusudu mandhari ya mto Kongo karibu ya nyumbani kwa Balozi wa Marekani mjini Kinshasa, DRC, May 3, 2014.