Baridi kali kuwahi kutokea Marekani
1
Mwanamke anatembea katika hali ya baridi kali mjini Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
2
Mtu akitembea katika moshi wa baridi unaotokea katika Ziwa Michigan huko Chicago, Illinois, Jan. 6, 2014.
3
Matt Frame akiondoa barafu kutoka katika gari kwenye kiwanda cha magari cha Ray Laethem Buick-GMC huko Detroit, Michigan, Jan. 6, 2014.
4
Wasafiri wakiwa wamejikusanya kwenye taa zenye joto katika moja ya njia maarufu za Chicago "El" huku wakipigwa na upepo wa baridi kali, Jan. 6, 2014.