Maelfu na maelfu ya watu wakusanyika Washington kuadhimisha nusu karne tangu Martin Luther King Jr kutoa hotuba ya kihistoria "I Have a Dream" kupigania haki za kiraia.
Marekani yaadhimisha miaka 50 ya maandamano ya Washington

1
Dr. Martin Luther King Jr. akiwapungia mkono maelfu ya watu walowasili kwenye makumbusho ya Lincoln kusikiliza hotuba yake ya "I Have a Dream" wakati wa maandamano kelekea Washington, D.C. Aug. 28, 1963 file photo.

2
Mtali anagusa mahala halisi ambapo Kasisi Martin Luther King Jr., alitoa hotuba ya kihistoria ya 'I Have a Dream' Kwnye makumbusho ya lincoln Memorial mjini Washington, Aug. 22, 2013.

3
Rev. Al Sharpton (2nd R) lakishikana mkono na Mbunge John Lewis (D-GA) karibu na Martin Luther King III (R) wanapoanza maandamano ya kuadhmisha miaka 50 ya Maandamano ya Washington mwaka1963, safari hii wakidai ajira na uhuru mbele ya makumbusho ya Lincoln mjin Washington, Aug. 24, 201

4
Crowds rally at the Lincoln Memorial in Washington to commemorate the 50th anniversary of the 1963 March on Washington, Aug. 24, 2013.