Wakati huohuo serikali inajaribu kuzuia hospitali kuelemewa na wagonjwa wenye maambukizi. Maambukizi hivi sasa yanakaribia kufikia milioni 1.
Upimaji wa COVID-19 unaendelea nchini India wakati maambukizi yakiongezeka

1
Mfanyakazi wa afya akimpima mkazi iwapo ana maambukizi ya COVID-19A karibu na eneo la makazi mini Mumbai, India Julia 16, 2020

2
Mkazi wa Mumbai aliyekuwa ana maambukizi ya virusi vya corona akiwa katika kituo cha afya akisubiri kupona.

3
Kijana akiwa amevaa barakoa amekaa mbele ya duka akitumia simu wakati maduka yalipotakiwa kufungwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID-19 huko Hyderabad Julai 16, 2020.(Photo by NOAH SEELAM / AFP)

4
Mwanamke akichukuliwa kipimo cha COVID-19 katika kituo cha serikali mjini Hyderabad, India, Jumatano, Julai 15, 2020.(AP Photo/Mahesh Kumar A.)