Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 04, 2023 Local time: 15:04

Ufaransa yaadhimisha Sikukuu ya Bastille


Maadhimisho ya siku ya Bastille mjini Paris, Ufaransa

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Alhamisi aliongoza sherehe mjini Paris kwa ajili ya sikukuu ya French Bastille.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliongoza sherehe mjini Paris kwa ajili ya sikukuu ya French Bastille Alhamisi.

Akiwasili katika gari la wazi, rais wa Ufaransa aliupungua umati wa watu, huku wanajeshi wakiwa kwenye farasi na beni zikitembea katika gwaride kupitia barabara ya Champs Elysees.

Bastille Day ni kumbukubu na kuvamiwa kwa gereza la Bastille mwaka 1789, moja ya matukio makuu wakati wa mapinduzi ya Ufaransa. Siku hiyo imetajwa ni sikukuu ya kitaifa nchini Ufaransa.

Sikukuu ya Bastille kiasili ni sku ya gwaride la kijeshi ambapo leo Alhamisi waliipongeza Ukraine, na washirika wa Ufaransa wa mashariki mwa Ulaya ambao ni miongon mwa wageni waliopeweheshima, maafisa wamesema.

Wanajeshi wa Ufaransa wamepelekwa karibu na Ukraine tangu uvamizi wa Russia mwezi Februari na pia wanajeshi hao walikuwa na tukio maalum katika sherehe hizo ambazo zilihudhuriwa na Rais Emmanuel Macron, serikali yake na viongozi wa kigeni.

XS
SM
MD
LG