Watu 20 wauwawa baada ya wanamgambo wawili kushambulia jengo la Makumbusho la Bardo mjini Tunis siku ya Jumatano. watali wa kigeni 18 waliuliwa pamoja na washambulizi wawili. Maafisa wa usalama wanasema wanawasaka watu wengine watatu wanoshukiwa kuhusika na shambulio hilo.
Wanamgambo washambulia jengo la makumbusho Tunis

5
Mathiriwa mmoja aliondolewa kutoka jumbe la makumbusho la Bardo mji Tunis, March 18, 2015.

6
Wafnaykazi wa afya wakimuondowa mtu aliyejeruhiwa katika shambulio la jengo la makumbusho la Bardo mjini Tunis

7
Rescue workers evacuate children, left, and adults after gunmen opened fire at the Bardo museum in Tunisia's capital, Wednesday, March 18, 2015 in Tunis.

8
Vikosi vya usalam vya Tunisia vinadhibiti eneo la shambulizi baada ya wanamgambo kushambulia jumba mashuhuri la makumbusho la Bardo, March 18, 2015.