Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 09, 2024 Local time: 03:03

Tunaangazia ugonjwa wa Polio na athari zake katika jamii


Tunaangazia ugonjwa wa Polio na athari zake katika jamii
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:00 0:00

Shirika la Afya Duniani na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF wamezindua juhudi za siku nne kuwapatia chanjo mamilioni ya watoto nchini Afghanistan dhidi ya polio, ikiwa ni kampeni ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu.

Program hiyo ilitangazwa na wizara ya Afya ya Umma na kuungwa mkono na Taliban, inalenga kuwapatia chanjo takriban watoto milioni 3.3 ambao wamekaa bila ya kupatiwa chanjo tangu mwaka 2018, mara ya mwisho wafanyakazi wa afya hawakuwa na na uwezo wa kufika maeneo ya nchi

Forum

XS
SM
MD
LG