Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 08, 2023 Local time: 01:41

Timu gani zinaweza kucheza fainali za AFCON mwaka huu?


Timu gani zinaweza kucheza fainali za AFCON mwaka huu?
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:29 0:00
Katika michuano ya soka ya kombe la mataifa ya Afrika-AFCON inayoendelea huko Cameroon jedwali la nusu fainali limekamilika na ikiwa Jumatatu na Jumanne ni mapumziko, Jumatano miamba ya soka Afrika timu ya taifa ya Senegal -Lions of Teranga itapepetana na Burkina Faso Stallions katika nusu fainali ya kwanza.
Na siku ya Alhamisi Mafarao wa Misri watapambana na wenyeji Cameroon katika nusu fainali ya pili. Je nini kitarajiwe bofya hapa kwa ripoti zaidi juu ya mapambano hayo ambapo Sunday Shomari amezungumza na mchambuzi Goeffrey Wamburi kutoka Nairobi Kenya.

Makundi

XS
SM
MD
LG