No media source currently available
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris anawasili Tanzania akitarajiwa kati ya masuala mengine kuangazia uwezeshwaji wa wanawake katika masuala ya uchumi.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari