South Africa Immigrant Attacks.
Chuki dhidi ya wahamiaji wa kiafrika zinazuka tena Afrika Kusini
Wahamiaji watano kutoka nchi za Afrika wamjeuliwa na wengine kadhaa kujeruhiwa tangu kuanza ghasia dhidi ya wageni huko Durban. Rais Jacob Zuma ametoa wito wa kusitishwa mara moja ghasia hizo.

1
Wakazi wa kitongoji cha mashariki ya Johanesburg wakimbia wakati polisi wanafyetua mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaowapinga wageni.

2
Vurumai latokea baada ya polisi kutumia risasi za mpira na gesi za kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaowapinga wageni huko Johanesburg, Afrika Kusini. April 16, 2015

3
Maandamano ya amani kupinga chuki dhidi ya wageni wa nchi za kiafrika yanafanyika mjini Durban April 16, 2015.

4
Polisi wa Afrika Kusini wakiwa na bunduki wachukau hatua kutawanya wapinga wageni nje ya mtaa wa mashariki wa Actonville, Johanesburg.
Ona maoni (5)
Pandisha maoni zaidi