Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Februari 10, 2025 Local time: 22:15

Shughuli mbalimbali zilizofanyika katika sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Nigeria Tinubu

Mwanasiasa wa muda mrefu Bola Tinubu aliapishwa kuwa rais wa Nigeria siku ya Jumatatu akichukua nafasi ya Muhammadu Buhari, Jenerali wa zamani ambaye ameondoka kwenye kiti hicho baada ya kutumikia mihula miwili madarakani.

Tinubu mwenye umri wa miaka 71 anatokea eneo la kusini anachukua madaraka kutoka kaskazini mwa nchi hiyo kwa mtangulizi wake mwenye umri wa miaka 80 wakati taifa hilo lenye idadi kubwa ya watu barani Afrika likikabiliwa na matatizo ya kiuchumi na mzozo wa kiusalama. Picha zote na Mwandishi wa Idhaa ya Hausa ya Sauti ya Amerika Medina Dauda.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG