Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 26, 2023 Local time: 06:24

Sheria yapendekezwa Bunge la Kenya kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu


Sheria yapendekezwa Bunge la Kenya kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Sheria inayopendekezwa hivi karibuni katika Bunge la Kenya inakusudiwa kubuni kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu kwa kununua na kuuza hati za utoaji wa gesi hiyo maarufu kama carbon credits.

XS
SM
MD
LG