Sepp Blatter miaka yake katika uongozi wa FIFA
Sepp Blatter miaka yake FIFA
1
Rais wa FIFA Sepp Blatter akishikilia kikombe wakati wa kupanga fainali za kombe la dunia 2010 Cape Town, South Africa, Disemba 4, 2009.
2
Sepp Blatter akitembelea ujenzi wa viwanja vya kombe la dunia Afrika Kusini, Septemba 15, 2008.
3
Sepp Blatter looks kabla ya mechi ya nusu fainali ya kombe la dunia baina ya Uholanzi na Argentina huko Sao Paulo, Brazil, July 9, 2014.
4
Rais wa Brazil Dilma Rousseff, Sepp Blatter, na Rais wa Russia Vladimir Putin wakati wa kukabidhi Russia uenyeji wa fainali za mwaka 2018 iliyofanyika July 13, 2014.