Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Novemba 05, 2024 Local time: 03:15

Seneti na bunge kutumika kuwaondoa viongozi madarakani ni njia mbadala ya kuwawajibisha?


 Seneti na bunge kutumika kuwaondoa viongozi madarakani ni njia mbadala ya kuwawajibisha?
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:01 0:00

Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili siasa za maafisa wa serikali kuondolewa madarakani kupitia mchakato wa bunge na baraza la seneti. Suala la msingi linakuja ni iwapo hii ni njia mbadala ya kuhakikisha uwajibikaji na uongozi bora.

Ungana na waandishi wetu wa VOA na wale wa Kituo cha Televisheni cha Azam TV na wachambuzi kutoka Marekani na maeneo ya Afrika Mashariki.

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG