Wakristo wote duniani waadhimisha siku ya kusulubiwa na kufufuka kwa Yesu Kristo kwa ibada na sala mbali mbali.
Wakristo kote dunia waadhimisha sikukuu ya Pasaka
5
Waumini wakitembea mjini Lohr am Main, Ujerumani wakibeba Msalaba siku ya Ijuma Kuu, April 14, 2017.
6
Wasani wakiiga yaliyomkuta Yesu, wakiwa katika Uwanja wa Trafalgar mjini London, Ijuma, April 14, 2017.
7
Brendan Paul, (katikati), anachukua nafasi Yesu, akiwaongoza waumini wa mji wa aWesley Mission Sydney,
8
Waumini wa Filipino wakiwa na Msalaba wa mbao washiriki katika kufufuka kwa Jesu katika jimbo la Cutud, Pampanga kaskazini ya Ufilipino.