Wakristo wote duniani waadhimisha siku ya kusulubiwa na kufufuka kwa Yesu Kristo kwa ibada na sala mbali mbali.
Wakristo kote dunia waadhimisha sikukuu ya Pasaka

1
Askofu Eric de Moulins Beaufort, wa Ufaransa akiwaongoza waumini akibeba msalaba wakielekea katika kanisa lkuu la Sacre Coeur basilica mjini París. AP.

2
Waumini wanaofunika nyuso wakihudhuria ibada, Santa Veracruz" brotherhood, wakati wa Wiki Tukufu mjini Calahorra, kaskazini mwa Hispania, April 12, 2017.

3
Kasisi Joaquim Gomes da Costa, (katikati) wa Fiscal, Amares, kaskazini mwa Ureno wakivuka mto Homem kwa boti akibeba Msalaba wa Kristo na akitembelea nyumba moja hadi nyingine na kuwabariki familia huko Jumatatu April 21,

4
Waumini wakibeba Msalaba wakipita Njia ya Msalaba mjini Warsaw, Poland, Ijuma, April 3, 2015.